ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 7, 2014

MWENYEKITI WA CHADEMA TUNDUMA AKABILIWA NA SHITAKA LA KUSHAMBULIA

Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Tunduma katika Wilaya ya Momba,Mkoa Mbeya, Herode Jivava, (wa kwanza kutoka kushoto) akiwa na mwanasheria wake Omary Ndamungu wakiwa nje ya mahakama ya Wilaya ya Mbozi mara baada ya kesi yake kuarishwa mpaka Mei 20 mwaka huu,kutokana mashahidi kushindwa kufika mahakamani.
Mwenyekiti huyo ameshitakiwa na kwa kosa la kumfanyia shambulio la mwili mwana chama cha mapinduzi (CCM) Sarafina Ngusa
Katikati ni Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema) kata ya Tunduma Wilaya ya Momba mkoani Mbeya, akitoka nje ya maahakama ya wilaya ya Mbozi baada ya kesi yake kuaairishwa hadi Mei 20 mwaka huu. Kushoto kwake ni wakili anaye mtetea katika hiyo, Omary Ndamungu.

Jivava anadaiwa kumfanyia shambulio la mwili kada wa chama cha mapinduzi Sarafina Ngusa,kulia kwake ni wa chadema, kesi hiyo iliahirishwa kutokana na mashahidi kushindwa kufika mahakamani. 

(picha na Kenneth Ngelesi)

No comments: