Niaibu aibu kwa Mbowe kusema hata niteua uwaziri kivuli Mbowe alishaa
kuwa nani katika nchi hii mm sitaki kuwa kivuli nataka uwaziri kamili
Nimewahi kuwa NAIBU waziri mkuu na waziri Wa mambo ya ndani
Kuniita kibaraka Wa ccm ni kunipaka matope kibaraka Wa ccm ni seifu Wa Zanzibar anayelipwa na ccm mpaka sasa
Chanzo TBC
No comments:
Post a Comment