ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 17, 2014

PATRICK KAJALE AKAMATA NONDOOZ, UMUC

Patrick Kajale akipongezwa na mwanae Nyambona baada ya kukamata nondooz ya Bachelor of Science in Management Studies katika University of Maryland University College leo Jumamosi May 17, 2014. College Park, Maryland Comcast Center.
 
Patrick Kajale akipongezwa na mama yake mzazi.
Patrick Kajale akipongezwa na mdogo wake Frank, mwanae Nyambona na baba na mama.
Patrick Kajale na mdogo wake Frank Kajale
Baba mzazi katika picha na wanae.
Patrick na Frank katika picha ya pamoja na mjomba wao Mabeba.
Patrick Kajale katika picha ya pamoja na baba na mama mdogo wake Frank na Bosi wake wa kazi Bwn. Bass (kati)
Patrick Kajale katika picha ya pamoja na dada yake Alice (kushoto) mdogo wake Frank (wapili toka kushoto) Shangazi yake Dr. Rose (watatu toka kushoto) na Shangazi yake Mammie (kulia)
Picha ya pamoja

3 comments:

Anonymous said...

i wish i could be there that moment.
happiest moment.
family mmependeza sana with smile on ure face safiii....

Anonymous said...

Thanks for the compliment...

Anonymous said...

Thanks for the compliment...