ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 17, 2014

DIAMOND'S LIVE PERFOMANCE ON MTVBASE ROAD TO MAMA

Msanii ambaye yupo juu kwenye gemu ya muziki wa kizazi kipya Diamond akifanya onesho LIVE chini ya udhamini wa MTVBASE ROAD TO MAMA iliyofanyaka Club Bilicana usiku wa Ijumaa May 16, 2014 na baadae kuruka kuelekea Uingereza ambako leo atafanya onesho lingine. Onesho la Bilicana lilijumuisha wasanii mbalimbali ambao wamekuwa Nominated na MTV. Diamond amefanya onesho hilo akiwa ametokea Uingereza alipokuwa amekwenda kutengeneza video ya wimbo wake mpya na baada ya onesho hilo alitarajiwa kukwea pipa na kurudi tena Uingereza ambapo kumetangazwa atafanya onesho lingine leo Jumamosi katika Club ya Malibu wakishirikiana na BONGOUK.
Diamond akifanya vitu vyake Club Bilicanas
BET Nominee Diamond Platnumz akiwa jukwaani LIVE club Bilicanas.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Picha zaote kwa hisani ya Diamond

No comments: