T.E.S baada ya kuweka kambi ya week moja Washington DC katika kiwanda cha Ocean Pro.
T.E.S wamekamirisha ujenzi wa pressure smoker house sehemu ya kwanza, na sasa hatua inayofuata ni ya ufungaji machine yenyewe baada ya kazi ndogo ndogo kukamilika. Machine hii ni ya kwanza kudesigniwa na Dr Temba miaka 12 iliyopita na hutoweza kuiona sehemu yeyote zaidi ya kiwandani hapa. Dr Temba ni Engineer na ni designer wa Smoker House, na Air Pollution Systems.
Mwanzo ilikuwa hivi kabla ya T.E.S kuingilia kati na kuanza tena from the scratch baada ya kugundua makosa yaliyofanyika tofauti na maelezo yaliyo kuwa ya metolewa na Engineer Dr Temba.
Pressure smoker house hivi ndivyo inavyoonekana baada ya awamu ya kwanza kukamilika
Technical wa T.E.S akipima kuhakikisha kila kitu kipo sawa kutokana na maelezo ya Engineer
Dr Temba akipata ukodak na vijana wa kazi ambao mwanzo walikabidhiwa kuifanya kazi hiyo. Lakini kukawa na makosa ya kuto fata vipimo vilivyo kuwa vimetolewa na Engineer.
1 comment:
Dr. Temba si una msiba wa chichi. Na kazini wajameni? Pesa kweli haina adabu.
Pole wee!!!
Post a Comment