ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 7, 2014

RAIS OBAMA NA MKE WAKE WALIVYO KUTANA NA LUPITA NYONG'O NA MAMA YAKE

Rais Obama alivyo kutana na Lupita  Nyang'o na mama yake white house....

1 comment:

Anonymous said...

Hapana haikuwa White House ilikuwa pale Washington Hilton siku ya Jumamosi, siyo white house...correction.