ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 5, 2014

Tovuti ya Wasira

Mhe. Stephen Wasira amezindua tovuti itasaidia umma kupata taarifa zinazohusu shughuli za maendeleo na changamoto katika jimbo la Bunda na nyinginezo. Taarifa hizi zinapatikana kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza. Unaweza kuzipata
kulingana na kifaa (device) ukitumiacho kama desktop/laptop computer (PC), tablet na simu za mkononi.
Uzinduzi wa tovuti ya Mhe. Stephen Wasira ukishuhudiwa na wadau mbalimbali uliofanyika siku ya Jumapili May 4, 2014
Mhe. Stephen Wasira akishuhudia wakati wa uzinduzi wa Tovuti yake.
Mhe. Stephen Wasira Mbunge wa Serengeti akipongezwa kwa uzinduzi huo
Muonekano wa Tovuti yenyewe

No comments: