Na
Walter Mguluchuma
Jumla ya Ng’ombe kumi na Moja na mbuzi wanne wameuwa na kuliwa na mnyama simba katika matukio matatutofauti yaliyotokea katika Tarafa ya Nsimbo Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi baada ya simba kuvamia katika vijiji vitatu
Kwa mujibu wa Diwani wa Kata ya Mtapenda Elieza Fyula tukio la kwanza lilitokea hapo Mei 28 majira ya usiku katika Kijiji cha Kabatini
Katika tukio hilo Simba wa walivamia kwenye kijiji hicho na kuuwa na kula Ng’ombe watatu na mbuzi watano ambao walikuwa wako ndani ya zizi la kufugia mifugo
Alisema siku iliyofuata ya tarehe 29 meimajira ya usiku simba hao walivamia katika Kitongoji cha Kambike kilichoko katika Kijiji cha Isinde na kuwauwa Ng’ombe watano mali ya mfugaji wa kitongoji hicho aitwaye Dirisha na kisha waliwala ng’ombe hao
DiwaniFyula alieleza baada ya tukio hilo viongozi wa kitongoji walitoa taarifa kwa viongozi wa kata ambao waliwasiliana na Idara ya Wanyama Poli ambao waliwasili kijijini hapo na kuwaswaga simba hao wapatao watano
Alisema siku iliyofuata simba hao walivamia tena kwenye kijiiji cha mkumbi na kisha waliuwa Ng’ombe wawili na kuwala
Na Blogs za mikoa

1 comment:
si simba huyu ni jinni huyu simba hawezi kula hivi hata kama ananja yakufaa
Post a Comment