Wadau tulio ughaibuni tuna mchango gani kwa nchi yetu kuepukana na hali hii ya watoto wetu kusomea chini ya mbuyu ?
3 comments:
Anonymous
said...
Ni kumwambia Kikwete kupunguza mijisafari isiyo na maana na delegation za matapeli. Safari moja tu wanatumia zaidi ya $700-800,000. Fikiria ni madarasa na vifaa vya shule ngapi hapo??
Tuna lalamika sana bila kutoa majibu ya yale tunayoyaona kuwa kama ni matatizo, ushauri wangu ni kwamba labda kila mmoja wetu ajiulize kwamba toka amefika hapa ugaibuni amechangia maendeleo gani katika eneo analotoka hasa kijijini kwenu.
Asante sana mdau. Kwa kweli sisi tulioko ughaibuni, tumekuwa tukifanya mambo mengi sana na starehe kuuubwa tu,!! Pamoja na jumuiya, haya mambo ya kuendeleza vitu kama hivi ni vya kufanyika kila mwaka na ni harambee nzuri tu. walau mara mbili kwa mwaka tunaweza kabisa, Inauma saana watoto kama hawa na bila kujali watakuw watu/viongozi huko mbeleni. Kwani hata wabunge kwenye bunge la katiba ambayo haijapatikana wamekula mshiko mkubwa kiasi gani amabachio kinawashinda kufanya maendeleo hapo ulipo??
3 comments:
Ni kumwambia Kikwete kupunguza mijisafari isiyo na maana na delegation za matapeli.
Safari moja tu wanatumia zaidi ya $700-800,000.
Fikiria ni madarasa na vifaa vya shule ngapi hapo??

Post a Comment