ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 21, 2014

Balozi Mdogo Mhe. Omar Mjenga na Mama Mjenga wamwandalia futari Mhe. Bernard Membe na ujumbe wake.

 Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, aliandaa futari nyumbani kwake kwa heshima ya Mhe. Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na ujumbe wake.
 Mheshimiwa Membe  akiwa na Mheshimiwa Balozi Mdogo Omar Mjenga kwenye futari
 Mheshimiwa Membe pamoja na Mhe. Mjenga, wakiwa katika mazungumzo kwenye ukumbi wa mazungumzo (majlis) nyumbani kwa Balozi Mdogo
 Balozi mdogo Mhe. Mjenga akiwa na Mhe. Bernard Membe kwenye futari aliyomuandalia.

 Futari ikiendelea
 Balozi Mdogo Mhe. Mjenga akiwa na Mhe. Bernard Membe katika chumba cha mazungumuzo.
 Mzungumuzo yakiendelea
Mhe. Membe anaondoka usiku huu kuelekea Colombo, Sri Lanka kwenye mkutano wa Jumuiya ya Madola.

1 comment:

Anonymous said...

umependeza na kazu yako membe bado tu ungeva kibaragashehaaa na tasbii mkononi.uislamu mzuri weweeeeeee