Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, aliandaa futari nyumbani kwake kwa heshima ya Mhe. Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na ujumbe wake.
Mheshimiwa Membe akiwa na Mheshimiwa Balozi Mdogo Omar Mjenga kwenye futari
Mheshimiwa Membe pamoja na Mhe. Mjenga, wakiwa katika mazungumzo kwenye ukumbi wa mazungumzo (majlis) nyumbani kwa Balozi Mdogo
Balozi mdogo Mhe. Mjenga akiwa na Mhe. Bernard Membe kwenye futari aliyomuandalia.
Futari ikiendelea
Balozi Mdogo Mhe. Mjenga akiwa na Mhe. Bernard Membe katika chumba cha mazungumuzo.
Mzungumuzo yakiendelea
Mhe. Membe anaondoka usiku huu kuelekea Colombo, Sri Lanka kwenye mkutano wa Jumuiya ya Madola.
1 comment:
umependeza na kazu yako membe bado tu ungeva kibaragashehaaa na tasbii mkononi.uislamu mzuri weweeeeeee
Post a Comment