ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 21, 2014

BEAUTIFUL WASTARA JUMA AKIWA NDANI YA SPORAH SHOW

Wastara mrembo na kipenzi cha wapenzi wa bongo movie ndani ya Sporah show akifunguka mwenendo mzima wa maisha yake toka afiwe na mume wake kipenzi mwigizaji mwenzake Sajuki.
Sporah akiwa na Wastara ndani ya kipindi cha Sporah show.
Wastara akipata ukodak na Sporah baada ya mdahalo wao kwisha.

No comments: