Timu ya Chelsea ikiwasili Austria.
Timu ya Chelsea ikiwa na wachezaji 26 imewasili nchini Austria tayari kwa mazoezi ya kujianda na ligi ya Uingereza itakayoanza mapema mwaka huu. Timu ya Chelsea iliwasili mji wa Waldarena siku ya Jumamtatu jioni July 21, 2014. W achezaji Cesc Fabregas, Diego Costa na Filipe Luis. wamo kwenye kikosi cha Chelsea kwa mara ya kwanza wakiwemo wachezaji Gary Cahill,Fernando Torres na Cesar Azpilicueta waliotoka kuzichezea timu zao kwenye kombe la Dunia.
Timu ya Chelsea ikifanya mazoezi mepesi leo jioni mara tu baada ya kuwasili nchini Austria.
Wachezaji wakipigiana pasi fupifupi.
Wachezaji wakiendelea kujifua huku kocha Jose Mourinho akufuatilia mazoezi.
No comments:
Post a Comment