ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 21, 2014

HATA JKT OLJORO KAMA AZAM SIMBA NA YANGA KIZUNGUZUNGU TU

Moja ya majukwaa ya uwanja mpya wa soka JKT Oljoro unaoendelea kujengwa huko Arusha. Uwanja huo utakuwa na uwezo wa kuingiza watu 10,000. Lakini je wakienda hao akina Yanga na Simba watu hao kumi elf si watakuwa mara mbili yake na usalama utakuwepo kweli?. Lakini chako ni chako ingawa ni kiduchu hongera wafunga buti mwanzo mzuri. 
(Picha kwa hisani ya Mwanaspoti.)

No comments: