ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 21, 2014

HAYA SASA BAADA YA KUIMBA DIAMOND KABLA HAJATOKA, SASA HII NDIYO REMIX YA MDOGO MDOGO YA DIAMOND ALIYOIMBA MDOGO WAKE DIAMOND

Unamkumbuka husu S-Kide aliyewahi kuimba Diamond kabla hajatoka sasa amekuja na hii jitiririshe.


2 comments:

Anonymous said...

Mbona hii Remix ni nzuriii, kuliko nyimbo yenyewe? Na anasauti nzuriii kuliko diamond mwenyewe! !!!!, lol..

Anonymous said...

.."Kimbia na ukimbie ila kujificha huwezi."
...urafiki huisha bali undugu. ..
Diamond. .fungua kurasa mpya. .samehe yaliopita na ureje na warejeshe wana familia wako..ndugu zako.