ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, July 9, 2014

LEO NI SIKU YA KUZALIWA YA RAFAEL NA ASHLEY YOUNG

beki Rafael wa Manchester

Leo ni siku ya kuzaliwa ya wachezaji wa Man U beki Rafael ambaye anatimiza miaka 24 na Ashaley Young anayetimiza miaka 29. Kama wewe ni shabiki wa Man U watakie wachezaji haya kheri ya siku ya kuzaliwa kwao.

No comments: