Mke wa
Mfalme Mswati wa Swaziland Nomsa Matsebula kulia akipata maelezo kutoka
kwa Mwalimu wa Chuo cha Kilimo Kizimbani Fumu Ali Garo kuhusu Mmea wa
Mchaichai na faida zake wakati alipotembelea katika Shanba la Viungo
Kizimbani ikiwa ni Miongoni mwa Ziara yake Zanzibar.
Mmea wa
Mmanjano kama unavyoonekana ambao ni miongoni mwa mimea yenye faida
kubwa ambao hupatikana sehemu ya Kizimbani Zanzibar.
Mke wa
Mfalme Mswati wa Swaziland Nomsa Matsebula Katikati akipata maelezo
kuhusu Mmea wa Mmanjano na faida za Manjano Kwa Mwalimu wa Chuo cha
Kilimo Kizimbani Fumu Ali Garo wakati alipotembelea katika Shanba la
Viungo Kizimbani ikiwa ni Miongoni mwa Ziara yake Zanzibar.
Mke wa
Mfalme Mswati wa Swaziland Nomsa Matsebula akishika Mmea wa Mvuje na
kupata maelezo yake kwa Mwalimu wa Chuo cha Kilimo Kizimbani Fumu Ali
Garo wakati alipotembelea katika Shamba la Viungo Kizimbani ikiwa ni
Miongoni mwa Ziara yake Zanzibar.
Mke wa
Mfalme Mswati wa Swaziland Nomsa Matsebula akiuluza maswali kuhusu
karafuu, kama anavyoonekana pichani kushika karafuu hio wakati
alipotembelea katika Shanba la Viungo Kizimbani ikiwa ni Miongoni mwa
Ziara yake Zanzibar.
Mke wa
Mfalme Mswati wa Swaziland Nomsa Matsebula akipata maelezo kutoka kwa
Mtembezi wa Watalii Shaaban Ali Hassan kuhusiana na Kima Punju
alipotembelea katika maeneo ya Jozani Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni
Miongoni mwa Ziara yake Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment