ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 21, 2014

TIMBER LAND JOGGING AND SPORTS CLUB YOMBO KILAKALA WAFUTURISHA NA KUTOA VYAKULA KWA WATOTO YATIMA


TIMBER LAND JOGING AND SPORTS CLUB YOMBO KILAKALA Kanali Mstaafu Iddi Kipingu wa tatu kushoto akikabizi misaada ya vyakura kwa watoto wanaolelewa katika kituo cha watoto yatima cha Daru-Alqm cha yombo misaada iliyotolewa na Timber Land Jogging and Sports Club

    Kanali Mstaafu Iddi Kipingu wa tatu kushoto akikabizi pesa taslim pamoja na vyakura mbalimbali kwa watoto wanaolelewa katika kituo chawatoto yatima cha Daru-Alqm cha yombo misaada iliyotolewa na Timber Land Jogging and Sports Club
Baadhi ya wtoto wakifuturu wakati wa futari iliyoandaliwa na klub ya jogging ya timber land iliyopo yombo kilakala
Baadhi ya kina mama na watoto nao wakipata futari
BAADHI YA WANACHAMA WANAWAKE WA KLUB YA TIMBER LAND YA YOMBO KILAKALA WAKIPATA FUTARI YA PAMOJA
Mlezi wa klabu ya Timber land sports club ya yombo kilakala ,bi Carren-Flora Mgonja wa pili kushoto akiwa na baadhi ya wanachama mara baada ya kumaliza futari
Mlezi wa klabu ya Timber land sports club ya yombo kilakala ,bi Carren-Flora Mgonja  akizungumza wakati wa futari hiyo
Makamu Mwenyekiti wa Timber Land Chorai JAohn akizungumza
Kanali Mstaafu Iddi Kipingu akitoa nasaha zake

Diwani wa kata ya yombo kilakala bi, Elizabeth Magwaja akiongea
Kanali Mstaafu Iddi Kipingu akikabidhiwa cheti cha ushiriki wake

No comments: