ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 5, 2014

BAADA YA KUSTAAFU KUCHEZA MPIRA MCHEZAJI WA ZAMANI WA MANCHESTER NI BATA TU NDANI YAKISIWA CHA AKINA RIHANNA BARBADOS

Dwight Yorke akisalimiana na jamaa aliejichora mwilini mwake kama sangoma kumbe ni moja ya manjonjo katika sherehe hizo za Kadoomant Day huko pande za Barbados  Yorke akila bata lake kiro safi. Kwa wanazi wa mashetani wekundu wanamkumbuka mtu huyu.

Lara Scandar  ni actor akiwa ndani ya kisiwa alichotokea mwana music mahiri wa Pop and R&B Rihanna. Siku hii ujulikana kwa jina la Kadoomant Day watu usherehekea kwa kuvaa mavazi ya kiutamaduni kucheza ngoma na kula chakula kwa kufunga mitaa hili kuacha watu wafanye yao kama hivi.
Lara Scandar akiwajibika vilivyo hapa akiwa na captain wa timu ya cricket ya West Indies 
Dwight York akiwa katikati ya madini bigsmile la kiroho safi pande za Barbados.

No comments: