Hapa Ronald akipata snacks kiroho safi maisha yanaendelea mpira umempa utajiri na sasa ni wakati wakula maisha na familia yake full kujiachia hadi kitambi.
Ronaldo mwenye umri wa mika 37 akipata kitu cha mojito tena hile kubwa hataki shida akiwa na familia yake kwenye ufukwe wa bahari ya Mediterraniean Ibiza.
Mwendo wa sigara maisha yanaendelea mpira tena kwishiney anakula kitu roho inapenda hakuna tena kujali afya yake mwendo wa kujiachia kiroho safi.
Hii ni mwaka 2002 kwenye final za kombe la dunia baada ya kuiwezesha timu yake ya taifa Brazil kuchukua ubingwa mbele ya Germany huku yeye mwenyewe akitupia 2 njuma ya nyavu za Germany.
Ndani ya Ibiza......
No comments:
Post a Comment