Neymar akiwa na Paris Hilton kwenye ufukwe wa Ibiza, Neymar alikosa kuonyesha makeke yake kwenye michezo ya mwisho ya kombe la dunia na timu yake ya taifa baada ya kukutwa na dharuba la kufunyika mfupa mdogo wa mgongo.
Neymar akipata ukodak na warembo wanaofanyia theraphysical kumsaidia kupona haraka hili aweze kurudi uwanjani mapema.
No comments:
Post a Comment