Advertisements

Sunday, August 10, 2014

BALOZI LIBERATA MULAMULA AHUDHURIA MISS AFRICA USA

Balozi wa Tanzania nchini Marekani akiwasili kwenye mashindando ya Miss Africa USA akiwa na mwanae Tanya Mulamula (wapili kushoto) kulia ni Ma Winny Case ambaye ni mgurugenzi wa Miss Tanzania USA Pageant wapili toka kulia ni Lady Caty ambaye ndiye mkurugenzi wa Miss Africa USA.
Balozi Mhe. Liberata Mulamula akipata picha ya pamoja na Ma Winy Case na Lady Caty
Mhe. Balozi akifanyiwa mahojiano
kwa picha zaidi bofya soma zaidi.

No comments: