Advertisements

Sunday, August 10, 2014

MISS ETHIOPIA ATWAA TAJI LA MISS AFRICA USA, JOY KALEMERA AWA WANNE

Miss Ethiopia akifurahia taji la kuwa Miss Africa katika mashindano hayo yaliyofanyika Rockville, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo Mhe. Balozi Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani. Mshiriki wa Tanzania, Joy Kalemera ameshika nafasi ya 4 kati ya washiriki 20 walioingia fainali hizo.
Washiriki watano waliopata nafasi ya kuingia tano bora kutoka kushoto ni Miss Tanzania aliyeshika na 4, Miss Uganda aliyeshika na 2, Miss Ethiopia aliyeshinda, Miss Guinea aliyeshika namba 3 na Miss Nigeria aliyeshika namba 5.

Washindi namba 2 mpaka 4 wakiangalia Miss Ethiopia akivishwa taji, kushoto ni miss Cameoon aliyekua Miss Africa USA msimu uliopita.
Washiriki wote 20 katika picha ya pamoja.
 Miss Ethiopia akipata picha ya pamoja na washindi namba 2 na 3 ambaye ni Miss Uganda na Miss Guinea.
Miss Ethiopia katika picha ya pamoja na mshindi namba 2 Miss Uganda.
Miss Ethiaopia akipata picha na wageni akiwepo Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi


4 comments:

Anonymous said...

Congratulations Joy Kalemera,if I was a judge it could been hard for me to be exact correct as most of you guys looked absolutely stunning.I'm pretty sure judges had a hard time to get the 1st run up.Most importantly you were able to emerge 4th out of 20,which we should be proud of ,and use it as a stepping stone to get to the next level.

Keep it up Joy,#Represent TZA!!!

Anonymous said...

Hongera sana Joy. You made us Tanzanians proud. Keep up the good work.

Anonymous said...

Congratulations Joy Kalemera for standing out and emerging the 4th runner up in the Miss Africa USA. The Tanzanian flag has been represented very well, and we are very proud of you. Keep our country shining in the global map.

Anonymous said...

Joy you made me very proud to be Tanzanian. Ulituambia project yako na ulijibu swali lako vizuri sana. Fine the competition was very tough but Tanzania and Uganda are my top 2 mna akili na mlifanya vizuri sana sana jumamosi. Miss Ethiopia failed to answer her question which should have weighed out more.
You are a winner anyway