Advertisements

Sunday, August 10, 2014

SIMBA YAMTIMUA KOCHA LOGARUSIC

Simba imemtimua kocha wake, Zdravko Logarusic ikiwa ni siku moja tu baada ya kufungwa mabao 3-0 na Zesco ya Zambia.
Loga anatuhumiwa kuzozana na wachezaji mara baada ya mechi akiwatuhumu kuonyesha kiwango duni.

Uongozi wa Simba umechukua uamuzi huo baada ya kikao cha takribani masaa matano.
Tayari Simba imeanza kufanya maarifa ya kumpata kocha mpya. Hizo ndiyo Simba na Yanga kila kukikucha majanga matupu.

2 comments:

Anonymous said...

Wacha wale pesa za wajinga.Watakuwa wanakuja wanachuma pesa na kuondoka.

Anonymous said...

Hata atakayekuja atapata wakati mgumu hasa Mwalimu anapokuwa hana mamlaka yake kama Mwalimu na Mtaalam.

Viongozi wanapaswa kutambua wajibu na mipaka yao. Hasa Uchaguzi/upangaji, ushawishi, utawala na umiliki wa Wachezaji. Hilo litampa wakati mgumu kila Mwalimu atakayepewa timu.