ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 18, 2014

Mazungumzo na Liberatus Mwang'ombe na Solomon Chris baada ya Uchaguzi DMV

Mubelwa Bandio kati akiwa na aliyekuwa mgombea wa nafasi za Mwenyekiti wa Jumuiya DMV Liberatus Mwang'ombe (L) na mgombea nafasi ya Katibu Msaidizi Solomon Chris (R0 wakati wa mahojiano
Agosti 9, 2014, Jumuiya waTanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia nchini Marekani ilifanya uchaguzi wake mkuu.
Matokeo yake yamekuwa yakipingwa na waliokuwa wagombea wa uchaguzi huo kutokana na sababu mbalimbali.
Wamaketi na Vijimambo Blog na Kwanza Production kueleza sababu hasa za kupinga matokeo hayo siku ya Jumatano ya Agosti 13, 2014.
Karibu uungane nasi kusikia wanachopinga

24 comments:

Anonymous said...

Asante Mubelwa kwa kuchukua muda wako kukutana na hawa wapinzania mumba! Hawa watakusumbua kichea na haya maneno hatuoni faida yake hii ni Jumuiya ya Watanzania na wala sio Ris wa kuongoza nchi! Sasa haya malumbano na kutafuta kura haki yanatokana na nini? ile ahadi ya kushirikiana imeishia wapi??Ofisi yetu ya Ubalozi haina haja ya kupoteza huda wa kuwafundisheni wanzo kazi nyingi tu za kufanya. Kwanza tunamshukuru sana mama Balozi kwa kuchukua muda wake na kuacha kazi zake kukaa na ninyi lakini inaonekana wazi hamheshimu mawazo ya wengi1! you are not fit !! that is it let it go and cooperate..

Anonymous said...

oooh lord!

Anonymous said...

hahahah,huyu jamaa kweli hajui anachokisema. mmemsikia mwenyewe amesema ana watu 45 walikuwa ktk whatapps, sasa turudi nyuma hawa watu ni kina alex,doto n.k. walikuiwa wanatukana watu kila kukicha. libe aliambiwa akasema hahusiki na hap watu!!! sasa libe jibu hoja kwa nini uliwakana na sasa hivi unawakubali. kweli ni flip flop. umezoea kuandikiwa sasa hata kujibu maswali unashindwa. kaka kaa kando umepewa fursa kujibu hoja sasa huwezi kwa sababu hawajakupa majibu. kweli uongozi hauwezi!!!

Anonymous said...

illusive creaturs wana jumuiya waliojitangaza wao wenyewe ushindi.

Anonymous said...

Illusive creatures.

uchaguzi batili huuu illusive creatures haaaaaaaaaaaaa.

Anonymous said...

aibu na aibu uchaguzi wakupendeleana huu.
luke ahsante kwa kutuweka hii clip.

magamba hawa wanafuata nyayo za magamba wa nyumabi ndo maana wamekuubiyeni kura zenu kina libe

Anonymous said...

aibu na aibu uchaguzi wakupendeleana huu.
luke ahsante kwa kutuweka hii clip.

magamba hawa wanafuata nyayo za magamba wa nyumabi ndo maana wamekuubiyeni kura zenu kina libe

Anonymous said...

hawawezi kuurudia huu uchanguzi wameshatumia pesa za fedheha kwenye nyama choma.

sijawahi kuona watu kama hawa,wanazulumu mchana kweupeeeee halafu wanafanya wenyewe viparty vya nyama chomo.aiseee.

mungu tusaidiye wana dmv na kina libe amen

Anonymous said...

WOW! Nime enjoy sana na wakati huo huo nimesikitika unyama uliotendwa ni AIBU kubwa inatakiwa jumuhiya zote za Kitanzania za ughaibuni niwasusie team IDD SMH

Anonymous said...

http://lukemusicfactory.blogspot.com/2014/05/tangazo-maalum_21.html


Binaadamu ni kiumbe wa ajabu. LIBE, SOLOMON NA SALMA hawakuwa wanachama wa Jumuiya hii majina ya wanachama hai yalitolewa na tume mwezi june na utayapata hapa. LIBE uanachama wake ulikwisha mid 2013 na hakurenew. Katiba yetu inasema usipolipa ada ya uanachama wako kwa ziku zidi ya 90 basi umejifuta uanachama wako hivyo wote hawa walijiunga tena na jumuiya mwanzoni mwa mwezi wa sita wakati tarehe ya uchaguzi ilikwisha tangazwa kuwa ni june 21. Kama tume ingeendelea na uchaguzi June 21 tusingekuwa hapa maana wote hawa wasingepitishwa na tume... KWA KUWA TUME ILIUNDWA KUHUDUMIA JAMII NA SI KUPENDELEA MWANAJUMUIYA YEYOTE TUME ILIWASIKILIZA KILIO CHAO NA KUSOGEZA TAREHE YA UCHAGUZI JULY 21. HAWA WATU HAWANA AIBU KUPOTOSHA JAMII NA KUPAKA MATOPE TUME NA BODI WAKAKTI VYOMBO HIVI KWANZA VIMEWAPENDELEA WAO NA I WISH TUME ISINGEWASIKILIZA NA KUFANYA UCHAGUZI JUNE 21. Hili ni moja kubwa walilodanganya jamii, swali ni JE HAWA WATU KWELI WANAJUA MAANA YA UONGOZI??? NA KWA NINI WASEME UONGO NA KUIDHALILISHA TUME NA BODI? JE WANAJUMUIYA HAWA NI VIONGOZI MNAOWATAKA WAIONGOZE JUMUIYA YETU?? TIRIRIKA

Anonymous said...

Uchaguzi urudiwe Iddi hatumtaki mswahili sana.

Anonymous said...

Duuh huyu dada anawakosesha usingizi?? Katibu wa tume wewe ni kiboko lakini hakuna anayeamini mtu mmoja ataweza kubadilisha matokeo. Nadhani kina Bandio wanajumuiya nasi tunataka kuchangia tuliyoyaona.... Kwani wengine tuliona uchaguzi wa haki since day one... na for the first time katiba imefuatwa.

Anonymous said...

Duuh huyu dada anawakosesha usingizi?? Katibu wa tume wewe ni kiboko lakini hakuna anayeamini mtu mmoja ataweza kubadilisha matokeo. Nadhani kina Bandio wanajumuiya nasi tunataka kuchangia tuliyoyaona.... Kwani wengine tuliona uchaguzi wa haki since day one... na for the first time katiba imefuatwa.

Anonymous said...

ANGEKUWA AMEWEKWA IDDY BASI UNGEZIAACHIA COMMENT ZIMSIFU YEYE TUU, SASA TUKIWEKA COMMENT ZETU KWA KINA LIBE UNAZITUPA WEWE VIPI DUDE.
SIYO FRESH KABISA UNAVYOFANYA NA TUNAJUA NDO BLOG YAKO HII

Anonymous said...

Nawashangaa SANA tu timu Libe walivyo na utovu mbaya wa adabu. Mnamtukana Babu, wakati huo huo mnamtaka apost comenti zenu! Wapuzi kweli!
Pili, Kwaajiri ya bodi ya wakurugenzi/uchaguzi na Bwana Sandaly. Tufanye uchaguzi upya, chini ya bodi mpya ya uchaguzi ili kuleta peace hapa

Anonymous said...

This is volunteer work...why are these people crying and whining.

Anonymous said...

Kwanza watueleze kwa nini waligushi sahihi ya mchungaji????

Anonymous said...

mchungaji maturu,malekela,kadyolo,mbata na shideko walileta waumini ambao hata majina yao hakuwa hata na kitambulisho. sasa libe hawa wachungaji wote wapo katika timu yako na mmegushi sahihi ya mmoja wa wachungaji. tuambieni ni kwa nini mmefanya hivyo, la sivyo ninawapeleka kotini. kuanzaia kesho naanza kukusanya petition mia mbili wala sichangishi pesa kama nyinyi. wachungaji niliwapa muda waombe msamaha wamekaidi sasa wataenda kujibu mahakamni.

Anonymous said...

Mbona hamjatoa MREJESHO WA TAMKO LA MCHUNGAJI IGOGO????? MAANA Nyie mabingwa sana wa kuchamba watu kwenye blogs haya mtumishi wa mungu amewasamehe na hakuna anayejitokeza kumuomba msamaha. MCHUNGAJI BURUZA MBURURAZ MAHAKAMANI!!!!!! How can we trust anything they say??? THEIR CREDILITY IS COMPLETELY ZERO, ASANTE MUNGU KUTUONDOLEA MAJANGA...DJ wakiendelea kukuvunjia adabu usiweke anything from watovu wa nidhamu bali waambie wakaweke team libe blog si wanayo??? kwa nini unaruhusu kutuchosha humu ndani na kelele zisizokwisha??? Its almost 2 weeks since election!!!!

Anonymous said...

We LIBE mbona kinganganizi mwanaume unakua kama luba uchaguzi umekwisha na umeshashindwa ,unaongea adi mishipa ya shingo inakusimama kwa kazi ambayo hulipwi hata sumni au mwenzetu ulikua una agenda ya siri ukichaguliwe ufanye maanake sio bure na washauri unao lakini wanakudanganya na unapoteza muda hao washauri wako ilikua nguvu za soda wataanza kukukimbia mmoja mmoja usijidanganye najua umetumia hela nyingi kwenye campaign yako yani wewe unaitaji conseling lasivyo unaweza kuuwa wagonjwa watu ukawaongeazea nusu kaputi ukawadedisha na lincence ikawa kwenye matatizo kila mtu akakucheka bit BUHIT JABRI alikupa ushauri mzuri sana ninge kua mimi ningeufanyia kazi think about unazidi kupoteza muda utakua chizi mwisho .

Anonymous said...

Cheez luis, mtoto mbishi huyu..katafute mke uoe if your single, mwee..

Anonymous said...

ASIYE KUBALI KUSHINDWA SIO MSHINDANII, LOL..HIVI NYIE HAMNA KAZI YA KUFANYA? EMBU ACHENI BLAH BLAH BLAH PLZZZ!!!! MMEKUWA WASWAHILI TOO MUCH MPAKA MNAKERA!!! Acheni roho mbayaa. .,

Anonymous said...

Jamani poleni sana. Mimi nina suluhisho na malalamiko yenu. Wote mlioshindwa mmekataa matokeo. Sasa anzisheni jumuiya yenu maana mmesema mna wafuasi 223 na muite Watanganyika-DMV. Viongozi wenu wawe kama ifuatavyo

1.Rais- Liberatus
2.Makamu Rais- Salma
3.Katibu- Ismail
4.Makamu katibu- Solomon
5.Mweka Hazina- Mmoja wa wafuasi wenu.

Tayari mna timu, si mnataka kuwa viongozi hiyo hapo tayari jumuiya ya wanachama 223 ambao hata hamhitaji kulipia uanachama kama hii ya watanzania--DMV.

Kila la heri watanganyika wenzangu,na mimi nitakuwa mwanachama mkereketwa kabisaaa.

Anonymous said...

Na kweli yote ni makurumbwende NO WOMAN NO KIDS....... Mwanamme akifika over 35 hakuna kitu kuna jambo utaona kauli zao chafuuuuuu mwanamke gani atakaa na wanaume kutwa kuita watu majina eti ELUSIVU KRICHA MAANA INABIDI NIIANDIKE KISWAHILI!!!! KKKKKKkkkkkkkkkkk mbavu zangu weeeeee. Mwanamke wa DMV anawatia wendawazimu hawalali wala hapakaliki kutwa kusakama wanawake tena 2016 wanawake wote jasiri chukueni fomu tuwaonyeshe kuwa hatutaki wanaume wapiga umbeya na majungu wamesambaza mavideo na magazeti ya uzushi dunia nzima na aliye na akili ndogo kama wao ndiye atakayewaamini, si unaona DMV wamewachoka kila mtu anamind their business ngoja nimpigie RAIS WANGU IDDY ANIWEKE KWENYE KAMATI TUJENGE JUMUIYA YETU