Salma Moshi akizungumza na Mubelwa Bandio kwenye mahojiano haya
Agosti 9, 2014, Jumuiya waTanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia nchini Marekani ilifanya uchaguzi wake mkuu.
Matokeo yake yamekuwa yakipingwa na waliokuwa wagombea wa uchaguzi huo kutokana na sababu mbalimbali.
Mmoja wa wagombea hao, Salma Moshi amaketi nasi kueleza sababu hasa za kupinga matokeo hayo siku ya Jumatano ya Agosti 13, 2014 chini ya utayarishaji wa Vijimambo Blog
Karibu uungane nasi kusikia anachopinga
20 comments:
salma moshi tunakushukuru sana kwa ukakamavu wako na uerevu wako wa hali ya juu.Kiongozi kama wewe unahitajika sana dmv.kura yangu utaipata mamito bila ya shaka.
uchaguzi urudiwe.
starrring ashaaa kaniacha hoi ha ha ha.
luke mkuu ahsante sana kwa kutupa ukweli wa mambo katika clips.mungu akubariki sana.
We manyoka weweee ccm imekushinda sasa nini unataka kutuvuruga wewe.... Kaa chini huna sifa hata moja ya uongozi kelele tu ndio unazo..
Allah Akbar,uchanguzi huu kwa kweli ni aibu isiyojificha.
Allah Akbar mtu anataka mwenyewe kujiuzuru wanamlazimisha asijiuzuru.
Allah Akbar.uchanguzi urudiwe.
nyama choma zenu mtazile siku zinginewe but not on this uchaguzi.
Allah Akbar
ha ha ha salma unayaweza nakupa big up mummy.nakukubali sana kabisa na bado nakikumbuka kipindi cha ughaibuni ulivyo watoka nishai wakina benja na yassin .
poa mummy ahsante kiongozi wetu wewe wa dmv
ASHA STARRING !! Lol
hahahah....facts but entertaining! huyu Asha ndo nani naona kaiweka DMV kwa kidole
Ehhh ndiyo Makamu Katibu huyooo!
DMV Kumekucha kusema kweli lazima Uchaguzi Urudiwe haki haija tendeka tuna taka haki tumechoka.
Dada kapumzike kura 94 kati ya 436 ni asilimia 22 tu. Hata tukirudia hutopata hizo kura tena. Uongozi wa jumuiya si sawa na uongozi wa usanii. Jipange mwaka 2016 na shiriki katika mambo ya jumuiya watu wakuamini, tunajua unatumikia chama Cha CCM lakini huku kwenye jumuiya unahitajika pia... BE ACTIVE, GET KNOWN YOUR CAPABILITIES THEN COME AND ASK FOR OUR VOTE.
Asha Nyanganyi sio kambeba Idd...uchaguzi urudiwe.
liza wewe dj luke faida yake nini hasa kama unaweka clip na comment watu tunaacha comment zetu unazitupa sasa umeweka uwanja wa kukoment kwa ajili gani basi ziba kama unavyoziba wakati kama hutaki comment.
mizegwe tuu unaleta.
chichemi chimumunyi chichemi, kweli ndio alitaka kuwa makamu wa raisi, kweli ni comedian
uchaguzi urudiwe
Jamani hivi nyie watu mmekwenda shule? Huyu dada mnayemsakama ASHA alikuwa Katibu wa tume ya uchaguzi na katibu ndiye mtendaji mkuu wa chombo chochote. Tunajua kamati ilikuwa na watu wengi kama 5 au 6. Dada Salma kama una matatizo naye binafsi mtafute private myamalize wacheni uongo kuwapaka watu wazuri wa jumuiya hii. Pili hakuna atakayekupa kura hapa DMV kuwa makamu wa rais..huo ndiyo ukweli. Please uchaguzi ujao lazima watu wajieleze kwa lugha zote mbili maana tupo Marekani hapa Michelle Obama anaweza kuja kwenye jumuiya yetu ukahitajika kiongozi uongee hotuba kwa kiingereza ikawa MAIMUNA STYLE... DJ USIBANE NA PLEASE TUMECHOKA NA HIZI KELELE ZA UCHAGUZI..... LET US FOCUS ON MATANGAZO YA MAENDELEO, KAMA HUJARIDHIA MATOKEA SOMA KATIBA INASEMA NINI??? FUATA HAKI YA KUGOMBANIA HAKI YAKO MWENYEWE SIYO LAZIMA KILA KITU KILETWE HUMU JAMANI. We have plenty of things to do to better our lives, na huko nyumbani... WHAT IS ALL THIS??????????????????????????
Asalam alyikum ma bibi na ma bwana ,bwana yesu asififiwe , hivi kweli wewe salima manyoka hebu tulia na acha kua na roho ya kwanini umeshindwa vibaya sana ,kutokana na wewe mwenyewe unaonekana kwa maelezo yako tuu upeo wako wa shule mdogo .sasa unakua unamuone wivu mwenzio asha nyanganyi ,unamsema vitu visivyo na maana unazidi kujichorosha kabisa na sentence yako yakusema kila sehemu wako wao kumbe unaumia wewe ulikua wapi siku zote ? umeanza kutoka juzijuzi hakuna mtu aliekua anakujua hao unao wasema kila sehemu wapo wamesoma tena sio ilimradi kusoma wana ma phd yao wewe kalaga baho endelea kujizalilisha atauchaguzi urudiwe mara 20 hauto shinda live asha alone ajakwambia usiende shule ,mtu mwenyewe sera zako unasema ulikua unacheza ngoma na minyoka nani ka kwambia marekani watu wanacheza ngoma na manyoka nyoka marekani ni part of family member tena wanawekwa sebuleni kwenye ma box yao badilika we bibi .
Wewe Salma na wagombea ni Kina nani katika jumuiya hii mpaka mnadhani Mna haki ya kusema mwanakamati wa TUME AJIUZURU?? Did u all read our katiba at all!! Matusi yote aliyotukanwa na wafuasi wenu whatsup group na viber Mara kapewa tenda na jumuiya, Mara kapewa pesa na balozi mmeyasambaza Kila Mahali akiwajibu anampigia KAMPENI Iddy!! What gat all this has to do with campaign. Heshima wanakamati na wewe mgombea utaheshimiwa.. Wanajumuiya tumenyamaza si wajinga midomo yenu na kauli zenu na shutuma zenu to some of these wanakamati are too visous and too personal.. Nani Anataka kusoma habari private za mwanajumuiya huu ni uchaguzi wa jumuiya. Let's start talk about that kabla Hamjaanza kudanganya WATU wasiojua lugha zenu zenye kashfa na uzushi. Na Bodi lazima itungwe miko ya uchaguzi Hawa wanagombea walidhani wapo above law kuandika magazeti ya uzishi na kusambaza Dunia nzima. Wameidhalilisha BODI, TUME NA HATA KUKOSA IMANI NA BALOZI.. Why are we even listening to this Illusive creatures Kama wanavyoita binadamu wengine. Halafu unaniomba kura?????? Ili uniite sijui kidubwasha gani. Tumejifunza tukiwa vidudu "U DO NOT CALL ANYBODY NAMES OTHER THAN THEIR OFFICIAL NAMES UNLESS THEY TELL U TO USE THEIR NICK NAMES" AU Wenzetu hamkufundishwa haya AU ham kusoma chekechea?? Mungu wanusuru nafsi zao!!
Jamani poleni sana. Mimi nina suluhisho na malalamiko yenu. Wote mlioshindwa mmekataa matokeo. Sasa anzisheni jumuiya yenu maana mmesema mna wafuasi 223 na muite Watanganyika-DMV. Viongozi wenu wawe kama ifuatavyo
1.Rais- Liberatus
2.Makamu Rais- Salma
3.Katibu- Ismail
4.Makamu katibu- Solomon
5.Mweka Hazina- Mmoja wa wafuasi wenu.
Tayari mna timu, si mnataka kuwa viongozi hiyo hapo tayari jumuiya ya wanachama 223 ambao hata hamhitaji kulipia uanachama kama hii ya watanzania--DMV.
Kila la heri watanganyika wenzangu,na mimi nitakuwa mwanachama mkereketwa kabisaaa.
mnamsema bure salma moshi na kusoma si big deal wako wangapi wamesoma na hawana mbele wala nyumba. huyo asha nyanganyi ana phd ya nini hebu tujulisheni kama si uongo na unafiki wenu?mtu aliye na phd anaweza kuwa yeye,you must be mad jokers.
urudiwe uchaguzi,aibu iliyoje na tutakuchagua salma moshi.
wamenyamaza kimya kwa sababu wana ona haya hao!!!! wameiba mchana kweupe kwenye kura na vijuku na virembwe vinafundishwa kuiba kura si balaa hili la ufisadi wa kimagamba.
SASA SALMA MBONA ANAJIANDIKIA COMMENT YEYE MWENYEWE
prove it kama anajiandika comment yeye mwenyewe?
Post a Comment