ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 7, 2014

NAPE:KATIBA SI SUALA LA CCM NA UKAWA KATIBA NI ZAIDI YA HAPO


Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) na ambapo alisema kitendo cha Tume ya Katiba kukishambulia na kukisakama Chama Cha Mapinduzi haikuwa sawa na hakitovumilika, aliendelea kusema kuwa utaratibu huu wa baadhi ya wajumbe wa tume kumkejeli Mwenyekiti wa CCM Taifa hauvumiliki na haukubaliki hata kidogo.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

No comments: