Wageni waalikwa wakiwa katika picha ya pamoja kwenye harusi ya Alvin na Susan iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 2, 2014 Dallas, Texas nchini Marekani na kuhudhuriwa na watu mbalimbali kutoka kila pembe ya Dunia.
Walimbwende wakiwa wamependeza kupita maelezo wakipata picha ya pamoja walipohudhuria harusi ya Alvin na Susan iliyofanyika Dalls, Texas nchini Marekaani siku ya Jumamosi Aug 2, 2014.
Ni mpendezo kwa kwenda mbele walimbwende wa Texas wakiwa wamependeza wakipata ukodak moment kwa kumbukumbu kwa ajili ya siku hii muhimu ya Alvin na Susan.
Wageni waalikwa wakipata picha ya pamoja.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment