Mhe. Omar Mjenga akiwa katika na chakula cha jioni (Dinner) na uongozi wa Dragon Mart ya Dubai, ambao wameonyesha nia kwa kushirikiana na Wizara ya Viwanda na Biashara, kujenga uwanja wa maonyesho ya biashara wa kisasa utakaokuwa unafanya maonyesho mfululizo kwa mzima.
Nia yao pamoja na Wizara, ni kujenga kituo cha ubora( centre of excellency) kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika.
No comments:
Post a Comment