ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 3, 2014

PICHA ZA MWANZO TIMU IDDI BBQ

Rais wa DMV Idd akiongea machache kwenye BBQ maalum aliyoandaa kwa wana DMV hapa akitoa shukran zake kwa baada ya watu kujitokeza kwa wingi kwenye BBQ hiyo.
Watu walijitokeza kwa wengi hii nikuonyesha ni jinsi gani watu wa DMV walivyo na mshikamano.


No comments: