Mhe. Rais akiongea na Watanzania washington.DC |
Meza kuu ya viongozi hapa Balozi Mulamula akiteta jambo ya Waziri wa Mambo ya Nje Mhe. Membe kabla ya mkutano kuanza.
Watanzania wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mhe. Rais Jakaya Kikwete
Mama Salam Kikwete akifuatilia kinachoendelea katika mkutano huo akiwa meza kuu
Mhe.Balozi Mulamula akiongea machache ukumbini hapo
Mmoja ya Watanzania ukumbini hapo akiuliza swali kwa Mhe. rais |
Watanzania walipewa nafasi ya kuuliza maswali na walijibiwa na kila mmoja alilizika na majibu kutoka kwa Mhe. Rais Kikwete. Kwa [Picha zaidi zenye sura tofauti nenda soma zaidi] picha kutoka T.E.S |
No comments:
Post a Comment