Blog ya Swahilivilla Siku ya Jumamosi July 19 2014 ilifanikiwa kufanya Mahojiano na mtaalamu wa uchumaji wa mauwa ya asumini Alwatan Kijakazi Hassan Mustafa, a.k.a (Kijakazi) ambae alielezeaa mengi kuhusu umuhimu wa Asumini pamoja na utunzani wake.
Mtaalamu wa uchumaji asumin Alwatan Kijakazi Hassan Mustafa akiwa katika harakati za uchumaji wa mauwa ya yenye harufu nzuri asumin
Katika Mahojiano haya na mtaalamu wa utunzaji wa Miasumini Kijakazi Hassan Mustafa ambae ni mkaazi wa Mwembetanga Zanzibar atuelezea mambo mbali mbali kuhusu umuhimu wa ujumaji na utuzaji wa mauwa ya Asumin, ya kiwemo kusingwa kwenye sherehe za harusi na hata kutengezea uturi pamoja na vikuba vyenye harufu nzuri ya kunukia
Asumini ni BUSTANI ya mapenzi yenye mauwa madogo yenye kutoa harufu nzuri, huchumwaa kwa kuwekewa kitandani ili bwana asitoke ndani wakti muwafaka wajioni.
Kwa mawazo zaidi wasiliana nasi kwa njia ya Email: swahilivilla@gmail.com
Ungana nasi taratibu kusikiliza mahojiano haya.
2 comments:
Kuna haja gani ktk blog yk kuweka option ya watu kutoa maoni yao km huya publish? Na hata ukiyapublish unayaweka way too late to make any good sense.
mashallah mashallah bi kijakazi kwa kuwa mtaalam wa uchumaji wa asmini na shukran sana kwa kutumegea utalaam wako japo chembe.je tunaweza kupata number yako ya simu tafadhal.
na dj luke ahsante sana kwa kutuwekea hii clip ya bi kijakazi
Post a Comment