Tanzania Yawakilishwa Kwenye Siku ya Utamaduni Brooklyn Borough Hall
Jesca Lujangwana na Tina Kakolaki pamoja na rafiki zao wawili, waliweza kupeperusha Bendera ya Tanzania kwa kushiriki kwenye siku ya tamaduni mbalimbali iliyofanyika New York huko Brooklyn Borough Hall siku ya Jumapili tarehe 3 Agosti 2014. Nchi mbali mbali zilishiriki katika kukuza mahusiano ya tamaduni mbalimbali. Chini ni Video ya Watanzania hawa wakiwakilisha nchi yao.
Video kwa Hisani ya Deogratius Mhella.
1 comment:
Inapendeza kuona Diaspora wakikumbushia utamaduni wa Mwafrika.
Post a Comment