Mambo muhimu yaliojadiliwa katika kongamano hilo ni pamoja na ilani ya wanawake katika katiba mpya kuangalia suala la usawa wa kijinsia, wanawake wanapataje haki zao za msingi hasa katika suala la matibabu, uzazi salama, elimu, maji salama, ushiriki wa kutosha katika nafasi za ajira ngazi zote. Mengine ni pamoja na ushiriki sawa katika nafasi za maamuzi na ulinzi wa kutosha kutokana na kukithiri kwa ukatili wa Kijinsia. Kongamano hilo lilifanyika Agosti 6,2014 kwenye viwanja vya TGNP jijini Dar es Salaam.
ANGALIA LIVE NEWS
Thursday, August 7, 2014
TGNP na Kongamano la Wazi Kujadili Mchakato wa Katiba Mpya
Mambo muhimu yaliojadiliwa katika kongamano hilo ni pamoja na ilani ya wanawake katika katiba mpya kuangalia suala la usawa wa kijinsia, wanawake wanapataje haki zao za msingi hasa katika suala la matibabu, uzazi salama, elimu, maji salama, ushiriki wa kutosha katika nafasi za ajira ngazi zote. Mengine ni pamoja na ushiriki sawa katika nafasi za maamuzi na ulinzi wa kutosha kutokana na kukithiri kwa ukatili wa Kijinsia. Kongamano hilo lilifanyika Agosti 6,2014 kwenye viwanja vya TGNP jijini Dar es Salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment