Dereva wa basi kulia anaelewa sheria za barabarani? mstari unaonyesha kabisa kuwa hutakiwi kulipita gari lililo mbele yako na yeye anavunja sheria wakati huo anaona mbele yake kuna lori. Pata picha kitakachotokea hapa. Dereva kama huyu anatakiwa kuchukuliwa hatua gani?.
Kwa mtaji huu tutaendelea kupoteza maisha yetu kwani ni uzembe wa madereva pale vifo vinavyotokea huwezi kusema ni mipango ya Mungu.
No comments:
Post a Comment