MwanaDiaspora Alawi Omar akingea jambo na mkurugenzi mkuu wa Azania Bank Bwn. Charles Singili mara tu walipokutana Washington, DC siku ya Alhamisi Aug 7, 2014 na moja ya mambo waliyoongelea ni swala la utoaji mikopo na Bwn Charles Singili kuongezea kwamba sasa hivi unapoingiza pesa yako katika akaunti za Azania Bank inakuonyesha moja kwa moja kwenye simu yako kwamba pesa imeingia hii yote ni katika kuweka wazi kwa mwanaDiapora anapokufungua akaunti na Azania Bank awe na unafuu na apate urahisi wa kutuma au kuweka akiba kwenye akaunti yake kupitia mtandao, Kwa maelezo zaidi watembelee Azania Bank kwenye tovuti yao kwa kubofya HAPA
Juu na chini ni Kessy Janabi na Alawi wakipata maelezo ya kina kuhusu Benki ya Azania kutoka kwa meneja wa benki hiyo Bwn. Twisa Mwmbona,
No comments:
Post a Comment