ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 6, 2014

WATANZANIA WAENDELEA KUMIMINIKA KATIKA BANDA LA NHC NANENANE KUJIPATIA HUDUMA MBALIMBALI‏

Afisa Mawasiliano na Huduma kwa Jamii wa NHC, Bi. Edith Nguruwe (katikati) akimuelekeza mwananchi aliyetembelea banda la NHC, kujaza dodoso la kufahamu uwezo na mahitaji ya nyumba kwa wananchi. (Picha zote kwa Hisani ya Shirika la Nyumba la Taifa)

Banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa lililopo katika viwanja vya Ngongo, vilivyopo nje kidogo ya mji wa Lindi mkoani Lindi.


Wageni mbalimbali wakipata maelezo kutoka kwa maafisa wa shirika la nyumba la taifa

Afisa Mauzo, Deogratius Batakanwa na Afisa Masoko Chediel Msuya wa NHC wakiwaelimisha Maafisa wa TFDA juu ya utaratibu wa kumiliki nyumba za NHC. Maafisa hao walifika katika banda la maonyesho la NHC kufahamu shughuli za Shirika la Nyumba na utaratibu wa manunuzi ya nyumba.

No comments: