Wema Sepetu a.k.a Beautiful Onyinye amekula kiapo cha kumchukia dada wa hiyari wa mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnum’, Halima Kimwana ambaye wamekuwa na bifu kwa kipindi kirefu huku sababu zikiwa hazijulikani.
ANGALIA LIVE NEWS
Friday, August 15, 2014
WEMA SEPETU ADAI ANAMCHUKIA HALIMA KIMWANA MPAKA AKIMWONA HUWA ANAJISIKIA KICHEFU CHEFU NA KUANZA KUTAPIKA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
na ndo maana diamond hataki kukuowa na wala hatokuowa kwa sababu ya kumchukia dada yake wa hiyari.so kama unataka kuolewa itabidi umpende dada yake wa hiyari kama humpendi uzi ndo ule ule na isije ikaja mwisho wa siku ukapigwa kibuti kwa kumchukia dada wa hiyari.
shauri yako bibiyee kaa ukijifunza si kubwabwaja ovyoo

Post a Comment