UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV UNAFURAHI KUWAFAHAMISHA WANADMV KUHUSU MCHANGO MKUBWA WA HUDUMA YA AFYA YA MENO ITAKAYOPATIKANA KUTOKA KWA MMILIKI WA KITUO CHA AFYA YA MENO, MWANADIASPORA MTANZANIA DR. TAALIB ALI
DR. TAALIB, NI MIONGONI MWA WATAALAMU WA AFYA WALIYOGUSWA KUBORESHA UPATIKANAJI WA HUDUMA MUHIMU ZA AFYA YA JAMII HASA KWA WAHAMIAJI. DR. TAALIB AMEAHIDI KUTOA HUDUMA YA AFYA YA MENO 50% OFF KWA KILA MTANZANIA MUHITAJI
KWA NIABA YA WOTE, UONGOZI WA DMV UNATANGULIZA SHUKRANI ZA DHATI KWA DR.TAALIB ALI, KWA MOYO NA UPENDO ALIYOONYESHA KWA JAMII YAKE.
NYOTE MNAKARIBISHWA
545 G. EAST MARKET ST. LEESBURG, VA 20176 SIMU#703-669-8600
MFAHAMU DR. TAALIB ALI WA KITUO CHA AVATAR DENTAL CARE KATIKA PICHA ZIFUATAZO;
No comments:
Post a Comment