ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 14, 2014

Hitma ya Marehemu Jamila Abdallah Tumbo leo Jumapili

Familia ya Rehema Barksdale na Ali Abdallah Tumbo (Ali Bambino) wanapenda kuwataarifu kuwa, Hitma ya mdogo wao Marehemu Jamila Abdallah Tumbo itafanyika leo Jumapili tarehe 9/14/14 kuanzia saa kumi na moja jioni mpaka saa tatu usiku. Hitma/Kisomo kitakuwa kwenye anuani ifuatayo

Sligo Urban Recreation Center
500 Sligo Avenue,
Silver Spring, MD 20910

Kama ilivyo desturi yetu tunaomba tujumuike pamoja kuwafariji ndugu zetu. Kwa maelezo zaidi wasiliana na

Zuhuru Ernest 240 447 7486
Ali Abdallah Tumbo 240 476 7797
Joyce Kassembe Omari 240 646 2405

No comments: