ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 14, 2014

KINANA ASHUHUDIA MIKOROSHO ILIYOKUFA HUKO MAGAWA


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akianglia mmoja wa mikorosho iliyokufa baada ya kshambuliwa na ugonjwa wa ajabu, mikorosho ipatayao 19270 imekufa katika kijiji cha Makumbea,kata ya Magawa wilaya ya Mkuranga.
 Kufa kwa mikorosho hii kumeathiri sana uchumi wa kata ya Magawa kiasi cha wananchi hao kuomba msaada kutoka serikali kuu.
Wananchi hao wamesema kuwa ugunjwa ulianza mwaka 2000 lakini wataalamu wamefika mwaka 2013 kwa ajili ya kufanya tafiti.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisikiliza kwa makini taarifa ya wananchi wa kata ya Magawa ambao mikorosho yao imekufa kwa ugonjwa wa ajabu.

No comments: