KWAKWELI BADO INATUWIA VIGUMU KUAMINI KUWA LEO IMETIMIA MIAKA MINNE 4 TANGU UTUTOKE HAPA DUNIANI MPENDWA WETU JULIUS MSEKWA INGAWA HAUPO NASI TENA KIMWILI, MOYO WAKO WA HEKIMA NA UPENDO UTAENDELEA KUBAKI NASI DAIMA
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA
BWANA LIBARIKIWE
AMEN
|
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake