Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa 24 wa wanachama na wadau wa PPF , kwenye ukumbin wa mikutano wa kimataifa wa Arusha (AICC), Jumatano Setemba 10, 2014.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, akitoa hotuba kwenye ufunguzi wa mkutano wa 24 wa wanachama na wadau wa PPF, kwenye kituo cha mikutano cha kimataifa cha Arusha, (AICC), Jumatano Septemba 10, 2014
Mwenyekliti wa bodi ya wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF, Alhaj Ramadhan Kijjah, akitoa hotuba kwenye ufunguzi wa mkutano wa 24 bwa wanachama na wadau wa PPF kwenye kituo cha mikutano cha kimataifa Arusha, (AICC), Jumatano Septemba 10, 2014
Afisa Uhusiano mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Jannet Ezekiel, (Kushoto), akimvisha beji ya ushiriki wa Mkutano wa 24 wa wanachama na wadau wa Mfuko huo, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, (SSRA), Irene Isaka, mwanzoni mwa mkutano huo
Naibu waziri Nchemba, akipokea na mwenyekiti wa bodi ya wadhamini ya PPF, Rajab Kijjah, alipowasili kwenye kituo cha mikutano cha kimataifa cha Arusha, (AICC)
Naibu waziri Nchembe, akisalimiana na mjumbe wa bodi ya wadhamini ya PPF, Mbaraka Igangula, huku wajumbe wengine wakishuhudia
Nchemba, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka
Naibu waziri Nchemba, akimkabidhi cheti cha ushindi wa jumla wa taasisi na mashirika yanayowasilisha michango ya wanachama wa PPF kwa wakati, Meneja uajiri na upandishaji vyeo wa shirika la umeme nchini TANESCO, Rajabu NMbiro
Waziri wa Uvuvin na Mifugo Dkt. Titus Kamani, (Kushoto), akimkabidhi cheti cha shukurani, Mwakilishi wa chama cha wavuvi wilayani Ukerewe, Alphonce Mkama, wakati wa hafla ya ufunghuzi wa mkutano wa 24 wa wanachama na wadau wa PPF, kwenye kituo cha mikutano cha kimataifa cha Arusha, AICC
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, (SSRA), Irine Isaka, (Kushoto) na Mkurugenzi wa Mifumo ya mawasiliano na computer wa PPF, Robert Mtendamema, wakielekea kwenye mkutano wa 24 wa wanachama na wadau wa PPF, kwenye ukumbi wa AICC jijini Arusha
Naibu waziri wa fedha Mwigulu Nchemba, akimkabidhi cheti cha Mshindi wa pili wa jumla wa taasisi zinazowasilisha michango ya wanachama wa PPF kwa wakati, Agness Robert, ambaye ni Meneja Mfunzo na Maendeleo wa benki ya CRDB
Wakurugenzi wa Mashirika mbalimbali, wakipiga makofi nili kumkaribisha mgeni rasmi wa Mkutano wa 24 wa wanachama na wadau wa PPF, Naibu waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba, (Hayupo pichani), wakati akiingian ukumbini
Wajumbe wa mkutano wakifuatilia hotuba ya Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake