Advertisements

Friday, September 12, 2014

NDANI YA SHEREHE YA MIAKA 4 YA VIJIMAMBO HII NDIYO HABARI YA MJINI

 Cassim Mganga baada ya kuwasili Washington. DC tayari kwa kutoa burudani ndani ya sherehe ya Vijimambo Kesho. Hapa Cassim akiwa ndani ya Ubalozi wa Tanzania Washington. DC akiweka sign kwenye kitabu cha wageni na kulia kwake ni Bwana Mayor akishuudia utia sign huo.
Sherehe ya vijimambo ndiyo habari ya mjini jumamosi hii hakuna kulala wote mnakaribishwa kiroho safi.
Hapa ni yule Beautiful Onyinye Aunt Ezekiel akiwa ndani ya ndege tayari kwa kuja kwenye sherehe ya vijimambo asubuhi atakuwa ndani ya nyumba live bila chenga.

1 comment:

Anonymous said...

Mnafiki WEWE sitakuja.