Rais Jakaya Kikwete akiongozana na mama Salma Kikwete na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula walipokuwa wakiingia kwenye ukumbi wa JW Marriott uliopo Washington, DC Ijumaa usiku Sept 19, 2014 kwenye USIKU WA JAKAYA uliokua umeandaliwa maalum na CCM tawi la DMV na kuhudhuriwa na Watanzania walishio nchini Marekani.
Mwenyekiti wa CCM DMV ndg George Sebo na mkuu wa vyama vya siasa CCM Marekani Bi. Loveness Mamuya wakiwakaribisha Rais Jakaya Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete mara tu walipowasili kwenye ukumbi wa JW Marriott kwenye USIKU WA JAKAYA
Mama Salama Kikwete akisalimiana na mwenyekiti wa CCM DMV ndg. George Sebo mara tu walipowasili kwenye ukumbi wa JW Marriott wakiongozana na Rais Jakaya Kikwete pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula kwenye USIKU WA JAKAYA
Mhe. Rais Jakaya Kikwete akiwa na mwenyeji wake mwenyekiti wa CCM DMV ndg. George Sebo.
Mama Salma Kikwete akiwa na Balozi wa AU Mhe. Amina Salum Ali
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe.akiwa na Mhe. Liberata Mulamula.
Balozi wa Tanzania Mhe. Liberata Mulamula na Mama Salma Kikwete.
Mhe. Rais Dkt. Jakaya Kikwete akimpongeza kijana Bryan kwa upigaji kinanda kwa ustadi waimbo wa Taifa na wimbo wa kuwasha mwenge.
No comments:
Post a Comment