Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula katika picha ya pamoja na na aliyekuwa mtangazaji wa luninga ambaye sasa anamiliki kituo cha luninga chake mwenyewe Oprah Winfrey ndani ya mgahawa uliopo hotel ya Fairmont Georgetown, Washington, DC
Balozi Liberata Mulamula wakibadilishana mawili matatu na Prah Winfrey walipokutana leo siku ya Jumamosi Sept 20, 2014
Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mh. Liberata Mulamula na Ofisa Mwandamizi wa Mambo ya Nje, Hassan Mwemeta pamoja na wadau wengine wakiwa katika picha ya pamoja na Mwanamama Oprah Winfrey kwenye hoteli ya Fairmount, nchini Marekani .
No comments:
Post a Comment