ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 20, 2014

KESHO NDO KESHO TAMASHA LA KISWAHILI (WASHINGTON DMV) -MABALOZI WA NCHI ZOTE ZA MASHARIKI WATHIBITISHA KUWEPO.


MAYOR WA MJI WA BLADENSBURG KUHUTUBIA, MABALOZI WA NCHI ZA AFRICA MASHARIKI WATAKUWEPO,FREE BOAT RIDE KUZUNGUKA MTO, MICHEZO YA WATOTO, UTAMADUNI WA AFRIKA MASHARIKI,VENDORS,CHAKULA CHA AFRIKA MASHARIKI KUTOKA SAFARI RESTAURANT DC, VINYWAJI BARIDI VYOTE VINAPATIKANA:
                                                    HAKUNA KIINGILIO NI BUREEE!

No comments: