Advertisements

Thursday, October 2, 2014

KAMA ULIKUWA UJUHI HABARI NDIYO HII HUKO BONGO MJINI

 Shida ya foleni kati ya Airport na City Centre kuisha?? Cheki treni mpya hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 800-1000. Tutaiweza kweli?

3 comments:

Anonymous said...

We will believe it, when we actually see it.Tz tuna projects nyingi sana kwenye makaratasi.

Anonymous said...

Watanzania mnaoishi hapa Marekani acheni dharau zenu. Kwa sasa Tanzania inapiga hatua kubwa, nyie wengine tangu mkimbie mhajarudi hata kutembea sababu ya makaratasi, yes, hilo la treni linawezekana, few years ago, mlipositi juu ya mabasi ya kwenda kwa mbio, leo mradi umefanyikiwa mmekaa kimya.

Pendeni nchi yenu kama Wakenya wafanyafo. Tatizo kubwa la wabongo hapa Marekani hasa DMV Elimu ni ndogo sana, nendeni shule.

Mdau
Maryland

Anonymous said...

Kinachotakiwa ni comment.Wee kama unadonge lako na mtu, CHAPA LAPA!!!!##