Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira hii leo
imekamilisha ziara yake kwa kukagua mgodi wa Buzwagi na kuridhishwa na
utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Baraza la Taifa la Hifadhi na
usimimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa mgodi huo.
Naibu Waziri Ofisi
ya Makamu wa Rais, Mh. Ummy Mwalimu akifafanua jambo mbele ya Kamati ya Bunge
ya Ardhi, Maliasili na Mazingira. Wa kwanza kulia ni Mh. James Lembeli
Mwenyekiti wa Kamati hiyo.
Naibu Waziri Ofisi
ya Makamu wa Rais Mh. Ummy Mwalimu (katikati) akiambatana wajumbe wa Kamati
katika ziara ya kukagua bwawa la kuhifadhia maji katika mgodi wa Buzwagi.
Pichani ni ujenzi wa
awamu ya pili wa Kituo cha Afya cha Mwendakulima kinachojengwa na Mgodi wa
Buzwagi kwa ajili ya kuwasogezea wananchi huduma bora za afya.
Baadhi nyumba
zitakazotumiwa na waganga na wauguzi wa kituo cha afya cha Mwendakulima pindi
kituo hicho kitakapoanza kutumika.
No comments:
Post a Comment