Hiyo ndo kazi ya wabongo waliopo nje! Kazi kusutana tu. Mimi namfahamu Miraj. Huko kunata ni uzushi wa wenzetu ambao hawaoni jema kwa yeyote yule. Inasikitisha. Lakini ndivyo walivyo wengine. Ushauri wangu; Miraj keep it up. Don't let anyone pull you back.
3 comments:
siku hizi hanywi tena Fanta miraji na ananata huyo usiombe hata marekani weusi hawafui dafu juu yakunata kwake.
Hiyo ndo kazi ya wabongo waliopo nje! Kazi kusutana tu. Mimi namfahamu Miraj. Huko kunata ni uzushi wa wenzetu ambao hawaoni jema kwa yeyote yule. Inasikitisha. Lakini ndivyo walivyo wengine. Ushauri wangu; Miraj keep it up. Don't let anyone pull you back.
Hahaha.hakui
Post a Comment